×

Na ikiwa watakuasi basi sema: Mimi najitenga mbali na hayo mnayo yatenda 26:216 Swahili translation

Quran infoSwahiliSurah Ash-Shu‘ara’ ⮕ (26:216) ayat 216 in Swahili

26:216 Surah Ash-Shu‘ara’ ayat 216 in Swahili (السواحيلية)

Quran with Swahili translation - Surah Ash-Shu‘ara’ ayat 216 - الشعراء - Page - Juz 19

﴿فَإِنۡ عَصَوۡكَ فَقُلۡ إِنِّي بَرِيٓءٞ مِّمَّا تَعۡمَلُونَ ﴾
[الشعراء: 216]

Na ikiwa watakuasi basi sema: Mimi najitenga mbali na hayo mnayo yatenda

❮ Previous Next ❯

ترجمة: فإن عصوك فقل إني بريء مما تعملون, باللغة السواحيلية

﴿فإن عصوك فقل إني بريء مما تعملون﴾ [الشعراء: 216]

Abdullah Muhammad Abu Bakr
Basi wakienda kinyume na amri yako na wasikufuate, jiepushe na vitendo vyao na yale waliyonayo ya ushirikina na upotevu
❮ Previous Next ❯

Verse in more languages

Transliteration Bangla Bosnian German English Persian French Hindi Indonesian Kazakh Dutch Russian Spanish Turkish Urdu Uzbek