Quran with Swahili translation - Surah Ash-Shu‘ara’ ayat 220 - الشعراء - Page - Juz 19
﴿إِنَّهُۥ هُوَ ٱلسَّمِيعُ ٱلۡعَلِيمُ ﴾
[الشعراء: 220]
﴿إنه هو السميع العليم﴾ [الشعراء: 220]
Abdullah Muhammad Abu Bakr Hakika Yeye, kutakasika na sifa za upungufu ni Kwake, Ndiye Anayesikia kusoma kwako na kumtaja kwako, Ndiye Anayejua nia yako na matendo yako |