Quran with Swahili translation - Surah Ash-Shu‘ara’ ayat 219 - الشعراء - Page - Juz 19
﴿وَتَقَلُّبَكَ فِي ٱلسَّٰجِدِينَ ﴾
[الشعراء: 219]
﴿وتقلبك في الساجدين﴾ [الشعراء: 219]
Abdullah Muhammad Abu Bakr Na Anaona vile unavyogeuka, pamoja na wenye kumsujudia katika Swala zao wakiwa na wewe, ukiwa katika hali ya kusimama, kurukuu na kusujudu na kuketi |