Quran with Swahili translation - Surah Ash-Shu‘ara’ ayat 38 - الشعراء - Page - Juz 19
﴿فَجُمِعَ ٱلسَّحَرَةُ لِمِيقَٰتِ يَوۡمٖ مَّعۡلُومٖ ﴾
[الشعراء: 38]
﴿فجمع السحرة لميقات يوم معلوم﴾ [الشعراء: 38]
Abdullah Muhammad Abu Bakr Wakakusanywa wachawi, na wakapangiwa wakati maalumu, nao ni wakati wa mchana wa siku ya Pambo ambayo wanajitenga na shughuli zao, na wanajikusanya na kujipamba, ili wakutane na Mūsā |