Quran with Swahili translation - Surah Ash-Shu‘ara’ ayat 46 - الشعراء - Page - Juz 19
﴿فَأُلۡقِيَ ٱلسَّحَرَةُ سَٰجِدِينَ ﴾
[الشعراء: 46]
﴿فألقي السحرة ساجدين﴾ [الشعراء: 46]
Abdullah Muhammad Abu Bakr Waliposhuhudia hilo na wakajua kuwa halitokani na udanganyifu wa wachawi, walimuamini Mwenyezi Mungu na wakamsujudia |