Quran with Swahili translation - Surah Ash-Shu‘ara’ ayat 45 - الشعراء - Page - Juz 19
﴿فَأَلۡقَىٰ مُوسَىٰ عَصَاهُ فَإِذَا هِيَ تَلۡقَفُ مَا يَأۡفِكُونَ ﴾
[الشعراء: 45]
﴿فألقى موسى عصاه فإذا هي تلقف ما يأفكون﴾ [الشعراء: 45]
Abdullah Muhammad Abu Bakr Hapo akaitupa Mūsā fimbo yake, na papo hapo ikawa ni nyoka mkubwa, akawa anavimeza vile vilivyotokana na wao, hao wachawi, vya uzushi na bandia |