Quran with Swahili translation - Surah Ash-Shu‘ara’ ayat 86 - الشعراء - Page - Juz 19
﴿وَٱغۡفِرۡ لِأَبِيٓ إِنَّهُۥ كَانَ مِنَ ٱلضَّآلِّينَ ﴾
[الشعراء: 86]
﴿واغفر لأبي إنه كان من الضالين﴾ [الشعراء: 86]
Abdullah Muhammad Abu Bakr Hii ni dua ya Ibrāhīm, amani imshukiye, ya kumuomba Mwenyezi Mungu Amuokoe babake na upotevu na Ampe uongofu, ili Amghufirie na Amsamehe, kama Ibrāhīm alivyomuahidi babake kumuombea Mungu, na ilipomfunukia kuwa yeye ni mwenye kuendelea kwenye ukafiri na ushirikina mpaka afe alijiepusha naye |