×

Na siku atakapo waita na akasema: Wako wapi hao mlio kuwa mkidai 28:74 Swahili translation

Quran infoSwahiliSurah Al-Qasas ⮕ (28:74) ayat 74 in Swahili

28:74 Surah Al-Qasas ayat 74 in Swahili (السواحيلية)

Quran with Swahili translation - Surah Al-Qasas ayat 74 - القَصَص - Page - Juz 20

﴿وَيَوۡمَ يُنَادِيهِمۡ فَيَقُولُ أَيۡنَ شُرَكَآءِيَ ٱلَّذِينَ كُنتُمۡ تَزۡعُمُونَ ﴾
[القَصَص: 74]

Na siku atakapo waita na akasema: Wako wapi hao mlio kuwa mkidai kuwa ni washirika wangu

❮ Previous Next ❯

ترجمة: ويوم يناديهم فيقول أين شركائي الذين كنتم تزعمون, باللغة السواحيلية

﴿ويوم يناديهم فيقول أين شركائي الذين كنتم تزعمون﴾ [القَصَص: 74]

Abdullah Muhammad Abu Bakr
Na Siku ambayo Mwenyezi Mungu Atawaita hawa washirikina Awaambie, «Wako wapi washirika wangu ambao mulikuwa mukidai duniani kwamba wao ni washirika wangu?»
❮ Previous Next ❯

Verse in more languages

Transliteration Bangla Bosnian German English Persian French Hindi Indonesian Kazakh Dutch Russian Spanish Turkish Urdu Uzbek