Quran with Swahili translation - Surah al-‘Imran ayat 132 - آل عِمران - Page - Juz 4
﴿وَأَطِيعُواْ ٱللَّهَ وَٱلرَّسُولَ لَعَلَّكُمۡ تُرۡحَمُونَ ﴾
[آل عِمران: 132]
﴿وأطيعوا الله والرسول لعلكم ترحمون﴾ [آل عِمران: 132]
Abdullah Muhammad Abu Bakr Na mtiini Mwenyezi Mungu, enyi waumini, katika yale Aliyowaamrisha kwayo ya twaa nay ale Aliyowakataza nayo ya kula riba na mengineyo. Na mtiini Mtume ili mpate kurehemewa na msiiadhibiwe |