×

Na yakimbilieni maghfira ya Mola wenu Mlezi, na Pepo ambayo upana wake 3:133 Swahili translation

Quran infoSwahiliSurah al-‘Imran ⮕ (3:133) ayat 133 in Swahili

3:133 Surah al-‘Imran ayat 133 in Swahili (السواحيلية)

Quran with Swahili translation - Surah al-‘Imran ayat 133 - آل عِمران - Page - Juz 4

﴿۞ وَسَارِعُوٓاْ إِلَىٰ مَغۡفِرَةٖ مِّن رَّبِّكُمۡ وَجَنَّةٍ عَرۡضُهَا ٱلسَّمَٰوَٰتُ وَٱلۡأَرۡضُ أُعِدَّتۡ لِلۡمُتَّقِينَ ﴾
[آل عِمران: 133]

Na yakimbilieni maghfira ya Mola wenu Mlezi, na Pepo ambayo upana wake ni mbingu na ardhi, iliyo wekwa tayari kwa wachamngu

❮ Previous Next ❯

ترجمة: وسارعوا إلى مغفرة من ربكم وجنة عرضها السموات والأرض أعدت للمتقين, باللغة السواحيلية

﴿وسارعوا إلى مغفرة من ربكم وجنة عرضها السموات والأرض أعدت للمتقين﴾ [آل عِمران: 133]

Abdullah Muhammad Abu Bakr
Na kimbilieni, kwa kumtii kwenu Mwenyezi Mungu na Mtume wake, ili kupata msamaha mkubwa utokao kwa Mola wenu na mpate Pepo kunjufu, upana wake ni sawa na mbingu na ardhi, Ameiandaa Mweyezi Mungu kwa wachamungu
❮ Previous Next ❯

Verse in more languages

Transliteration Bangla Bosnian German English Persian French Hindi Indonesian Kazakh Dutch Russian Spanish Turkish Urdu Uzbek