Quran with Swahili translation - Surah al-‘Imran ayat 162 - آل عِمران - Page - Juz 4
﴿أَفَمَنِ ٱتَّبَعَ رِضۡوَٰنَ ٱللَّهِ كَمَنۢ بَآءَ بِسَخَطٖ مِّنَ ٱللَّهِ وَمَأۡوَىٰهُ جَهَنَّمُۖ وَبِئۡسَ ٱلۡمَصِيرُ ﴾
[آل عِمران: 162]
﴿أفمن اتبع رضوان الله كمن باء بسخط من الله ومأواه جهنم وبئس﴾ [آل عِمران: 162]
Abdullah Muhammad Abu Bakr Yule ambaye lengo lake ni radhi za Mwenyezi Mungu, halingani na yule ambaye ametopea kwenye maasia na kumkasirisha Mola wake na akastahiki kwa hilo makazi ya Jahanamu ambayo mwisho mbaya wa mtu kuishilia ni hapo |