Quran with Swahili translation - Surah al-‘Imran ayat 189 - آل عِمران - Page - Juz 4
﴿وَلِلَّهِ مُلۡكُ ٱلسَّمَٰوَٰتِ وَٱلۡأَرۡضِۗ وَٱللَّهُ عَلَىٰ كُلِّ شَيۡءٖ قَدِيرٌ ﴾
[آل عِمران: 189]
﴿ولله ملك السموات والأرض والله على كل شيء قدير﴾ [آل عِمران: 189]
Abdullah Muhammad Abu Bakr Ni wa Mwenyezi Mungu, Peke Yake, ufalme wa mbinguni na ardhini na vilivyomo humo. Na Mwenyezi Mungu ni Muweza wa kila kitu |