Quran with Swahili translation - Surah As-Sajdah ayat 2 - السَّجدة - Page - Juz 21
﴿تَنزِيلُ ٱلۡكِتَٰبِ لَا رَيۡبَ فِيهِ مِن رَّبِّ ٱلۡعَٰلَمِينَ ﴾
[السَّجدة: 2]
﴿تنـزيل الكتاب لا ريب فيه من رب العالمين﴾ [السَّجدة: 2]
Abdullah Muhammad Abu Bakr Hii Qur’ani aliyokuja nayo Mtume Muhammad, rehema na amani zimshukie, haina shaka kuwa imeteremshwa kutoka kwa Mwenyezi Mungu, Mola wa viumbe wote |