×

Enyi mlio amini! Mcheni Mwenyezi Mungu na semeni maneno ya sawasawa 33:70 Swahili translation

Quran infoSwahiliSurah Al-Ahzab ⮕ (33:70) ayat 70 in Swahili

33:70 Surah Al-Ahzab ayat 70 in Swahili (السواحيلية)

Quran with Swahili translation - Surah Al-Ahzab ayat 70 - الأحزَاب - Page - Juz 22

﴿يَٰٓأَيُّهَا ٱلَّذِينَ ءَامَنُواْ ٱتَّقُواْ ٱللَّهَ وَقُولُواْ قَوۡلٗا سَدِيدٗا ﴾
[الأحزَاب: 70]

Enyi mlio amini! Mcheni Mwenyezi Mungu na semeni maneno ya sawasawa

❮ Previous Next ❯

ترجمة: ياأيها الذين آمنوا اتقوا الله وقولوا قولا سديدا, باللغة السواحيلية

﴿ياأيها الذين آمنوا اتقوا الله وقولوا قولا سديدا﴾ [الأحزَاب: 70]

Abdullah Muhammad Abu Bakr
Enyi mliomuamini Mwenyezi Mungu na Mtume Wake na mkazifuata Sheria Zake kivitendo, fanyeni matendo ya kumtii na mjiepushe na matendo ya kumuasi, ili msistahili kupata mateso hayo. Na semeni, katika hali zenu zote na mambo yenu yote, maneno ya kunyoka na yanayolingana na usawa, yasiyokuwa na urongo na ubatilifu
❮ Previous Next ❯

Verse in more languages

Transliteration Bangla Bosnian German English Persian French Hindi Indonesian Kazakh Dutch Russian Spanish Turkish Urdu Uzbek