Quran with Swahili translation - Surah FaTir ayat 26 - فَاطِر - Page - Juz 22
﴿ثُمَّ أَخَذۡتُ ٱلَّذِينَ كَفَرُواْۖ فَكَيۡفَ كَانَ نَكِيرِ ﴾
[فَاطِر: 26]
﴿ثم أخذت الذين كفروا فكيف كان نكير﴾ [فَاطِر: 26]
Abdullah Muhammad Abu Bakr Kisha nikawakamata wale waliokanusha na kuwapa aina mbalimbali za adhabu. Basi angalia kulikuwa namna gani kukataa kwangu matendo yao na kule kuwashukia wao mateso yangu |