Quran with Swahili translation - Surah Ya-Sin ayat 72 - يسٓ - Page - Juz 23
﴿وَذَلَّلۡنَٰهَا لَهُمۡ فَمِنۡهَا رَكُوبُهُمۡ وَمِنۡهَا يَأۡكُلُونَ ﴾
[يسٓ: 72]
﴿وذللناها لهم فمنها ركوبهم ومنها يأكلون﴾ [يسٓ: 72]
Abdullah Muhammad Abu Bakr Na tukawadhalilishia (hao wanyama kwao). Katika hao kuna wanaowapanda katika safari, na katika hao kuna wanaowabebesha mizigo, na katika hao kuna wanaowala |