Quran with Swahili translation - Surah Ya-Sin ayat 73 - يسٓ - Page - Juz 23
﴿وَلَهُمۡ فِيهَا مَنَٰفِعُ وَمَشَارِبُۚ أَفَلَا يَشۡكُرُونَ ﴾
[يسٓ: 73]
﴿ولهم فيها منافع ومشارب أفلا يشكرون﴾ [يسٓ: 73]
Abdullah Muhammad Abu Bakr Na katika hao wanyama, wana manufaa mengine ya kunufaika nayo, kama vile kunufaika kwa sufi zao, mabele yao na nywele zao kwa matumizi ya nyumbani, mavazi na mengineyo, na wanakunywa maziwa yao. Basi hawamshukuru Mwenyezi Mungu, Ambaye Amewapa neema hizi, na kumtakasia ibada |