Quran with Swahili translation - Surah As-saffat ayat 157 - الصَّافَات - Page - Juz 23
﴿فَأۡتُواْ بِكِتَٰبِكُمۡ إِن كُنتُمۡ صَٰدِقِينَ ﴾
[الصَّافَات: 157]
﴿فأتوا بكتابكم إن كنتم صادقين﴾ [الصَّافَات: 157]
Abdullah Muhammad Abu Bakr Iwapo mna hoja ndani ya kitabu kitokacho kwa Mwenyezi Mungu, basi kileteni, mkiwa ni wa kweli katika hilo neno lenu |