Quran with Swahili translation - Surah As-saffat ayat 182 - الصَّافَات - Page - Juz 23
﴿وَٱلۡحَمۡدُ لِلَّهِ رَبِّ ٱلۡعَٰلَمِينَ ﴾
[الصَّافَات: 182]
﴿والحمد لله رب العالمين﴾ [الصَّافَات: 182]
Abdullah Muhammad Abu Bakr Na shukrani na sifa njema ni za Mola wa viumbe wote ulimwenguni na Akhera. Yeye Ndiye Mstahiki wa hilo Peke Yake, Hana mshirika Wake |