Quran with Swahili translation - Surah As-saffat ayat 26 - الصَّافَات - Page - Juz 23
﴿بَلۡ هُمُ ٱلۡيَوۡمَ مُسۡتَسۡلِمُونَ ﴾
[الصَّافَات: 26]
﴿بل هم اليوم مستسلمون﴾ [الصَّافَات: 26]
Abdullah Muhammad Abu Bakr Bali wao Leo ni wenye kufuata amri ya Mwenyezi Mungu, hawataenda kinyume nayo wala hawataepukana nayo, hawajisaidii wao wenyewe |