Quran with Swahili translation - Surah As-saffat ayat 50 - الصَّافَات - Page - Juz 23
﴿فَأَقۡبَلَ بَعۡضُهُمۡ عَلَىٰ بَعۡضٖ يَتَسَآءَلُونَ ﴾
[الصَّافَات: 50]
﴿فأقبل بعضهم على بعض يتساءلون﴾ [الصَّافَات: 50]
Abdullah Muhammad Abu Bakr Hapo wataelekeana wakiulizana kuhusu hali zao za duniani na mambo ya usumbufu waliokuwa wakikutana nayo huko, na yale ambayo Mwenyezi Mungu Aliwaneemesha nayo Peponi. Na huku ndiko kuliwazika kuliotimia |