Quran with Swahili translation - Surah As-saffat ayat 51 - الصَّافَات - Page - Juz 23
﴿قَالَ قَآئِلٞ مِّنۡهُمۡ إِنِّي كَانَ لِي قَرِينٞ ﴾
[الصَّافَات: 51]
﴿قال قائل منهم إني كان لي قرين﴾ [الصَّافَات: 51]
Abdullah Muhammad Abu Bakr Atasema msemaji miongoni mwa watu wa Peponi, «Kwa kweli, nilikuwa na rafiki duniani aliyeshikana na mimi |