Quran with Swahili translation - Surah As-saffat ayat 62 - الصَّافَات - Page - Juz 23
﴿أَذَٰلِكَ خَيۡرٞ نُّزُلًا أَمۡ شَجَرَةُ ٱلزَّقُّومِ ﴾
[الصَّافَات: 62]
﴿أذلك خير نـزلا أم شجرة الزقوم﴾ [الصَّافَات: 62]
Abdullah Muhammad Abu Bakr Je, hayo yaliyotangulia kuelezwa ya starehe za Pepo ni makaribisho bora na vipewa vya Mwenyezi Mungu, au ni mti mbaya uliolaaniwa wa zaqqūm, ambao ni chakula cha watu wa Motoni |