Quran with Swahili translation - Surah As-saffat ayat 63 - الصَّافَات - Page - Juz 23
﴿إِنَّا جَعَلۡنَٰهَا فِتۡنَةٗ لِّلظَّٰلِمِينَ ﴾
[الصَّافَات: 63]
﴿إنا جعلناها فتنة للظالمين﴾ [الصَّافَات: 63]
Abdullah Muhammad Abu Bakr Sisi tumeufanya ni mtihani waliotahiniwa nao madhalimu kwa ukanushaji na kufanya mambo ya uasi na wakasema kwa njia ya kiburi, «Mtu wenu anawapa habari kwamba motoni kuna mti, na moto unakula miti.» |