Quran with Swahili translation - Surah As-saffat ayat 61 - الصَّافَات - Page - Juz 23
﴿لِمِثۡلِ هَٰذَا فَلۡيَعۡمَلِ ٱلۡعَٰمِلُونَ ﴾
[الصَّافَات: 61]
﴿لمثل هذا فليعمل العاملون﴾ [الصَّافَات: 61]
Abdullah Muhammad Abu Bakr «Basi kwa kupata mfano wa starehe hizi kamilifu, makazi ya daima na kufaulu kukubwa, na watende wenye kutenda duniani ili wazifikie huko Akhera.» |