Quran with Swahili translation - Surah As-saffat ayat 66 - الصَّافَات - Page - Juz 23
﴿فَإِنَّهُمۡ لَأٓكِلُونَ مِنۡهَا فَمَالِـُٔونَ مِنۡهَا ٱلۡبُطُونَ ﴾
[الصَّافَات: 66]
﴿فإنهم لآكلون منها فمالئون منها البطون﴾ [الصَّافَات: 66]
Abdullah Muhammad Abu Bakr Basi yanapokuwa hivyo, usiulize baada ya haya kuhusu utamu wake. Kwani washirikina ni wenye kula kutoka mti huo na ni wenye kujaza matumbo yao kwa matunda hayo |