Quran with Swahili translation - Surah As-saffat ayat 85 - الصَّافَات - Page - Juz 23
﴿إِذۡ قَالَ لِأَبِيهِ وَقَوۡمِهِۦ مَاذَا تَعۡبُدُونَ ﴾
[الصَّافَات: 85]
﴿إذ قال لأبيه وقومه ماذا تعبدون﴾ [الصَّافَات: 85]
Abdullah Muhammad Abu Bakr alipomwambia babake na watu wake kwa njia ya kuwakanya, «Ni kitu gani hiko mnachokiabudu badala ya Mwenyezi Mungu |