Quran with Swahili translation - Surah sad ayat 76 - صٓ - Page - Juz 23
﴿قَالَ أَنَا۠ خَيۡرٞ مِّنۡهُ خَلَقۡتَنِي مِن نَّارٖ وَخَلَقۡتَهُۥ مِن طِينٖ ﴾
[صٓ: 76]
﴿قال أنا خير منه خلقتني من نار وخلقته من طين﴾ [صٓ: 76]
Abdullah Muhammad Abu Bakr Iblisi akasema akimpinga Mola wake, «Mimi sikumsujudia kwa kuwa mimi ni bora kuliko Yeye, kwa kuwa umeniumba kwa moto na umemuumba yeye kwa udongo (na moto ni bora kuliko udongo) |