Quran with Swahili translation - Surah An-Nisa’ ayat 106 - النِّسَاء - Page - Juz 5
﴿وَٱسۡتَغۡفِرِ ٱللَّهَۖ إِنَّ ٱللَّهَ كَانَ غَفُورٗا رَّحِيمٗا ﴾
[النِّسَاء: 106]
﴿واستغفر الله إن الله كان غفورا رحيما﴾ [النِّسَاء: 106]
Abdullah Muhammad Abu Bakr Na utake msamaha kwa Mwenyezi Mungu Aliyetukuka katika hali zako zote. Hakika Mwenyezi Mungu ni Mwingi wa kusamehe kwa wanaotarajia nyongeza za mema Yake na vipewa vya msamaha Wake, ni Mwingi wa huruma kwao |