×

Hakika Sisi tumekuteremshia Kitabu hiki kwa haki ili upate kuhukumu baina ya 4:105 Swahili translation

Quran infoSwahiliSurah An-Nisa’ ⮕ (4:105) ayat 105 in Swahili

4:105 Surah An-Nisa’ ayat 105 in Swahili (السواحيلية)

Quran with Swahili translation - Surah An-Nisa’ ayat 105 - النِّسَاء - Page - Juz 5

﴿إِنَّآ أَنزَلۡنَآ إِلَيۡكَ ٱلۡكِتَٰبَ بِٱلۡحَقِّ لِتَحۡكُمَ بَيۡنَ ٱلنَّاسِ بِمَآ أَرَىٰكَ ٱللَّهُۚ وَلَا تَكُن لِّلۡخَآئِنِينَ خَصِيمٗا ﴾
[النِّسَاء: 105]

Hakika Sisi tumekuteremshia Kitabu hiki kwa haki ili upate kuhukumu baina ya watu kwa alivyo kuonyesha Mwenyezi Mungu. Wala usiwe mtetezi wa makhaaini

❮ Previous Next ❯

ترجمة: إنا أنـزلنا إليك الكتاب بالحق لتحكم بين الناس بما أراك الله ولا, باللغة السواحيلية

﴿إنا أنـزلنا إليك الكتاب بالحق لتحكم بين الناس بما أراك الله ولا﴾ [النِّسَاء: 105]

Abdullah Muhammad Abu Bakr
Sisi tumekuteremshia Qur’ani, ewe Muhammad, iliyokusanya haki, ili utoe uamuzi baina ya watu wote kwa wahyi ambao Mwenyezi Mungu Amekuletea na Akakufahamisha. Basi usiwe ni mwenye kuwatetea wale wanaozifanyia hiana nafsi zao, kwa kuificha haki, kwa kuwa wamekudhihirishia maneno yaliyo kinyume na ukweli
❮ Previous Next ❯

Verse in more languages

Transliteration Bangla Bosnian German English Persian French Hindi Indonesian Kazakh Dutch Russian Spanish Turkish Urdu Uzbek