×

Hakika wanaafiki watakuwa katika t'abaka ya chini kabisa Motoni, wala hutompata yeyote 4:145 Swahili translation

Quran infoSwahiliSurah An-Nisa’ ⮕ (4:145) ayat 145 in Swahili

4:145 Surah An-Nisa’ ayat 145 in Swahili (السواحيلية)

Quran with Swahili translation - Surah An-Nisa’ ayat 145 - النِّسَاء - Page - Juz 5

﴿إِنَّ ٱلۡمُنَٰفِقِينَ فِي ٱلدَّرۡكِ ٱلۡأَسۡفَلِ مِنَ ٱلنَّارِ وَلَن تَجِدَ لَهُمۡ نَصِيرًا ﴾
[النِّسَاء: 145]

Hakika wanaafiki watakuwa katika t'abaka ya chini kabisa Motoni, wala hutompata yeyote wa kuwanusuru

❮ Previous Next ❯

ترجمة: إن المنافقين في الدرك الأسفل من النار ولن تجد لهم نصيرا, باللغة السواحيلية

﴿إن المنافقين في الدرك الأسفل من النار ولن تجد لهم نصيرا﴾ [النِّسَاء: 145]

Abdullah Muhammad Abu Bakr
Hakika wanafiki watakuwa kwenye mahandaki ya chini kwa chini ya Moto Siku ya Kiyama. Na hutawapatia wao, ewe Mtume, yoyote wa kuwaokoa atakayewakinga wao wasifikie mwisho huu mbaya
❮ Previous Next ❯

Verse in more languages

Transliteration Bangla Bosnian German English Persian French Hindi Indonesian Kazakh Dutch Russian Spanish Turkish Urdu Uzbek