Quran with Swahili translation - Surah An-Nisa’ ayat 45 - النِّسَاء - Page - Juz 5
﴿وَٱللَّهُ أَعۡلَمُ بِأَعۡدَآئِكُمۡۚ وَكَفَىٰ بِٱللَّهِ وَلِيّٗا وَكَفَىٰ بِٱللَّهِ نَصِيرٗا ﴾
[النِّسَاء: 45]
﴿والله أعلم بأعدائكم وكفى بالله وليا وكفى بالله نصيرا﴾ [النِّسَاء: 45]
Abdullah Muhammad Abu Bakr Na Mwenyezi Mungu, Aliyetakasika na sifa pungufu na kutukuka, Anaujua zaidi kuliko nyinyi, enyi Waumini, uadui wa hawa Mayahudi juu yenu. Na inatosha kuwa Mwenyezi Mungu Ndiye Msimamizi wa kuwasimamia, na inatosha kuwa Yeye Ndiye Mnusuru wa kuwanusuru juu ya maadui zenu |