×

Huwaoni wale walio pewa sehemu ya Kitabu wananunua upotovu na wanakutakeni nanyi 4:44 Swahili translation

Quran infoSwahiliSurah An-Nisa’ ⮕ (4:44) ayat 44 in Swahili

4:44 Surah An-Nisa’ ayat 44 in Swahili (السواحيلية)

Quran with Swahili translation - Surah An-Nisa’ ayat 44 - النِّسَاء - Page - Juz 5

﴿أَلَمۡ تَرَ إِلَى ٱلَّذِينَ أُوتُواْ نَصِيبٗا مِّنَ ٱلۡكِتَٰبِ يَشۡتَرُونَ ٱلضَّلَٰلَةَ وَيُرِيدُونَ أَن تَضِلُّواْ ٱلسَّبِيلَ ﴾
[النِّسَاء: 44]

Huwaoni wale walio pewa sehemu ya Kitabu wananunua upotovu na wanakutakeni nanyi mpotee njia

❮ Previous Next ❯

ترجمة: ألم تر إلى الذين أوتوا نصيبا من الكتاب يشترون الضلالة ويريدون أن, باللغة السواحيلية

﴿ألم تر إلى الذين أوتوا نصيبا من الكتاب يشترون الضلالة ويريدون أن﴾ [النِّسَاء: 44]

Abdullah Muhammad Abu Bakr
Kwani hukujua, ewe Mtume, mambo ya Mayahudi waliopewa fungu la elimu kwa Taurati iliyowajia, wanatoa uongofu na kuchukua upotevu badala yake, wanaacha hoja na dalili walizonazo zenye kuonesha ukweli wa ujumbe wa Mtume Muhammad , rehema ya Mwenyezi Mungu na amani zimshukiye, na wanawatakia nyinyi, enyi Waumini, muende kombo na njia iliyolingana ili muwe wapotevu kama wao
❮ Previous Next ❯

Verse in more languages

Transliteration Bangla Bosnian German English Persian French Hindi Indonesian Kazakh Dutch Russian Spanish Turkish Urdu Uzbek