Quran with Swahili translation - Surah Ghafir ayat 76 - غَافِر - Page - Juz 24
﴿ٱدۡخُلُوٓاْ أَبۡوَٰبَ جَهَنَّمَ خَٰلِدِينَ فِيهَاۖ فَبِئۡسَ مَثۡوَى ٱلۡمُتَكَبِّرِينَ ﴾
[غَافِر: 76]
﴿ادخلوا أبواب جهنم خالدين فيها فبئس مثوى المتكبرين﴾ [غَافِر: 76]
Abdullah Muhammad Abu Bakr Ingieni kwenye milango ya Jahanamu ikiwa ni mateso yenu kwa kumkanusha kwenu Mwenyezi Mungu na kumuasi, hali ya kukaa milele humo. Ni mbaya sana Jahanamu kuwa ni mashukio ya wenye kumfanyia kuburi Mwenyezi Mungu duniani |