×

Mwenyezi Mungu ndiye aliye teremsha Kitabu kwa Haki, na Mizani. Na nini 42:17 Swahili translation

Quran infoSwahiliSurah Ash-Shura ⮕ (42:17) ayat 17 in Swahili

42:17 Surah Ash-Shura ayat 17 in Swahili (السواحيلية)

Quran with Swahili translation - Surah Ash-Shura ayat 17 - الشُّوري - Page - Juz 25

﴿ٱللَّهُ ٱلَّذِيٓ أَنزَلَ ٱلۡكِتَٰبَ بِٱلۡحَقِّ وَٱلۡمِيزَانَۗ وَمَا يُدۡرِيكَ لَعَلَّ ٱلسَّاعَةَ قَرِيبٞ ﴾
[الشُّوري: 17]

Mwenyezi Mungu ndiye aliye teremsha Kitabu kwa Haki, na Mizani. Na nini kitakacho kujuulisha ya kwamba pengine Saa ya Kiyama ipo karibu

❮ Previous Next ❯

ترجمة: الله الذي أنـزل الكتاب بالحق والميزان وما يدريك لعل الساعة قريب, باللغة السواحيلية

﴿الله الذي أنـزل الكتاب بالحق والميزان وما يدريك لعل الساعة قريب﴾ [الشُّوري: 17]

Abdullah Muhammad Abu Bakr
Mwenyezi Mungu Ndiye Aliyeteremsha Qur’ani na Vitabu vilivyoteremshwa vinginevyo kwa ukweli. Na Ameteremsha mizani, nayo ni uadilifu, ili Ahukumu baina ya watu kwa usawa. Na ni lipi linalokujulisha na kukufahamisha kuwa huenda wakati ambao Kiyama kitasimama uko karibu
❮ Previous Next ❯

Verse in more languages

Transliteration Bangla Bosnian German English Persian French Hindi Indonesian Kazakh Dutch Russian Spanish Turkish Urdu Uzbek