×

Na wanao hojiana juu ya Mwenyezi Mungu baada ya kukubaliwa, hoja za 42:16 Swahili translation

Quran infoSwahiliSurah Ash-Shura ⮕ (42:16) ayat 16 in Swahili

42:16 Surah Ash-Shura ayat 16 in Swahili (السواحيلية)

Quran with Swahili translation - Surah Ash-Shura ayat 16 - الشُّوري - Page - Juz 25

﴿وَٱلَّذِينَ يُحَآجُّونَ فِي ٱللَّهِ مِنۢ بَعۡدِ مَا ٱسۡتُجِيبَ لَهُۥ حُجَّتُهُمۡ دَاحِضَةٌ عِندَ رَبِّهِمۡ وَعَلَيۡهِمۡ غَضَبٞ وَلَهُمۡ عَذَابٞ شَدِيدٌ ﴾
[الشُّوري: 16]

Na wanao hojiana juu ya Mwenyezi Mungu baada ya kukubaliwa, hoja za hawa ni baat'ili mbele ya Mola wao Mlezi, na juu yao ipo ghadhabu, na itakuwa kwao adhabu kali

❮ Previous Next ❯

ترجمة: والذين يحاجون في الله من بعد ما استجيب له حجتهم داحضة عند, باللغة السواحيلية

﴿والذين يحاجون في الله من بعد ما استجيب له حجتهم داحضة عند﴾ [الشُّوري: 16]

Abdullah Muhammad Abu Bakr
Na wale wanaojadili kuhusu Dini ya Mwenyezi Mungu niliyomtumiliza kwayo Muhammad, rehema ya Mwenyezi Mungu na amani zimshukie, baada ya watu kuikubali na kusilimu, hoja yao na mjadala wao, mbele ya Mola wao, ni zenye kutenguka na kuondoka. Na watashukiwa na adhabu kutoka kwa Mwenyezi Mungu hapa duniani, na huko Akhera watakuwa na adhabu kali, nayo ni Moto
❮ Previous Next ❯

Verse in more languages

Transliteration Bangla Bosnian German English Persian French Hindi Indonesian Kazakh Dutch Russian Spanish Turkish Urdu Uzbek