Quran with Swahili translation - Surah Al-Jathiyah ayat 3 - الجاثِية - Page - Juz 25
﴿إِنَّ فِي ٱلسَّمَٰوَٰتِ وَٱلۡأَرۡضِ لَأٓيَٰتٖ لِّلۡمُؤۡمِنِينَ ﴾
[الجاثِية: 3]
﴿إن في السموات والأرض لآيات للمؤمنين﴾ [الجاثِية: 3]
Abdullah Muhammad Abu Bakr Hakika kwenye mbingu saba na ardhi ambapo humo viumbe vinatoka, na vilivyomo baina ya hivyo viwili miongoni mwa viumbe wa jinsi tofauti na aina mbalimbali, kuna dalili na hoja kwa wenye kuziamini |