×

Na katika umbo lenu na katika wanyama alio watawanya zimo Ishara kwa 45:4 Swahili translation

Quran infoSwahiliSurah Al-Jathiyah ⮕ (45:4) ayat 4 in Swahili

45:4 Surah Al-Jathiyah ayat 4 in Swahili (السواحيلية)

Quran with Swahili translation - Surah Al-Jathiyah ayat 4 - الجاثِية - Page - Juz 25

﴿وَفِي خَلۡقِكُمۡ وَمَا يَبُثُّ مِن دَآبَّةٍ ءَايَٰتٞ لِّقَوۡمٖ يُوقِنُونَ ﴾
[الجاثِية: 4]

Na katika umbo lenu na katika wanyama alio watawanya zimo Ishara kwa watu wenye yakini

❮ Previous Next ❯

ترجمة: وفي خلقكم وما يبث من دابة آيات لقوم يوقنون, باللغة السواحيلية

﴿وفي خلقكم وما يبث من دابة آيات لقوم يوقنون﴾ [الجاثِية: 4]

Abdullah Muhammad Abu Bakr
Na katika kuwaumba nyinyi, enyi watu, na uumbaji wa vilivyotapakaa ardhini miongoni mwa vinavyotambaa juu yake, kuna hoja na dalili kwa watu wenye imani ya yakini juu ya Mwenyezi Mungu na Sheria Yake
❮ Previous Next ❯

Verse in more languages

Transliteration Bangla Bosnian German English Persian French Hindi Indonesian Kazakh Dutch Russian Spanish Turkish Urdu Uzbek