Quran with Swahili translation - Surah Al-Ma’idah ayat 86 - المَائدة - Page - Juz 7
﴿وَٱلَّذِينَ كَفَرُواْ وَكَذَّبُواْ بِـَٔايَٰتِنَآ أُوْلَٰٓئِكَ أَصۡحَٰبُ ٱلۡجَحِيمِ ﴾
[المَائدة: 86]
﴿والذين كفروا وكذبوا بآياتنا أولئك أصحاب الجحيم﴾ [المَائدة: 86]
Abdullah Muhammad Abu Bakr Na wale ambao waliukanusha upweke wa Mwenyezi Mungu, wakaukataa unabii wa Muhammad, rehema ya Mwenyezi Mungu na amani zimshukie, na wakazikanusha aya Zake zilizoteremshwa kwa Mitume Wake, hao ndio watu wa Motoni wenye kukaa daima humo |