Quran with Swahili translation - Surah AT-Tur ayat 25 - الطُّور - Page - Juz 27
﴿وَأَقۡبَلَ بَعۡضُهُمۡ عَلَىٰ بَعۡضٖ يَتَسَآءَلُونَ ﴾
[الطُّور: 25]
﴿وأقبل بعضهم على بعض يتساءلون﴾ [الطُّور: 25]
Abdullah Muhammad Abu Bakr Watageukiana watu wa Peponi kuulizana wao kwa wao juu ya ukubwa wa yale waliyonayo na sababu ya kuyapata |