Quran with Swahili translation - Surah AT-Tur ayat 24 - الطُّور - Page - Juz 27
﴿۞ وَيَطُوفُ عَلَيۡهِمۡ غِلۡمَانٞ لَّهُمۡ كَأَنَّهُمۡ لُؤۡلُؤٞ مَّكۡنُونٞ ﴾
[الطُّور: 24]
﴿ويطوف عليهم غلمان لهم كأنهم لؤلؤ مكنون﴾ [الطُّور: 24]
Abdullah Muhammad Abu Bakr Na watawazunguka watumishi waliotayarishwa kuwatumikia kama kwamba wao katika usafi na weupe na utungaji nidhamu ni lulu iliyohifadhiwa kwenye mashaza yake |