Quran with Swahili translation - Surah An-Najm ayat 11 - النَّجم - Page - Juz 27
﴿مَا كَذَبَ ٱلۡفُؤَادُ مَا رَأَىٰٓ ﴾
[النَّجم: 11]
﴿ما كذب الفؤاد ما رأى﴾ [النَّجم: 11]
Abdullah Muhammad Abu Bakr Haukukanusha moyo wa Muhammad, rehema ya Mwenyezi Mungu na amani zimshukie, kile alichokiona kwa macho yake |