Quran with Swahili translation - Surah An-Najm ayat 10 - النَّجم - Page - Juz 27
﴿فَأَوۡحَىٰٓ إِلَىٰ عَبۡدِهِۦ مَآ أَوۡحَىٰ ﴾
[النَّجم: 10]
﴿فأوحى إلى عبده ما أوحى﴾ [النَّجم: 10]
Abdullah Muhammad Abu Bakr Hapo Mwenyezi Mungu, Aliyetakasika na kutukuka, alimpelekea wahyi mja Wake Muhammad, rehema ya Mwenyezi Mungu na amani zimshukie, kile alichokituma kwa wahyi kupitia Jibrili, amani imshukie |