Quran with Swahili translation - Surah An-Najm ayat 12 - النَّجم - Page - Juz 27
﴿أَفَتُمَٰرُونَهُۥ عَلَىٰ مَا يَرَىٰ ﴾
[النَّجم: 12]
﴿أفتمارونه على ما يرى﴾ [النَّجم: 12]
Abdullah Muhammad Abu Bakr Je mnamkanusha Muhammad, rehema ya Mwenyezi Mungu na amni zimshukie, mkajadiliana naye juu ya kile alichokiona na kukishuhudia miongoni mwa alama za Mola wake |