Quran with Swahili translation - Surah An-Najm ayat 56 - النَّجم - Page - Juz 27
﴿هَٰذَا نَذِيرٞ مِّنَ ٱلنُّذُرِ ٱلۡأُولَىٰٓ ﴾
[النَّجم: 56]
﴿هذا نذير من النذر الأولى﴾ [النَّجم: 56]
Abdullah Muhammad Abu Bakr Huyu Muhammad, rehema ya Mwenyezi Mungu na amani zimshukie, ni mwonyaji wa haki ambayo kwayo walionya Manabii kabla yake, si kitu kipya katika Mitume |