Quran with Swahili translation - Surah Al-Qamar ayat 10 - القَمَر - Page - Juz 27
﴿فَدَعَا رَبَّهُۥٓ أَنِّي مَغۡلُوبٞ فَٱنتَصِرۡ ﴾
[القَمَر: 10]
﴿فدعا ربه أني مغلوب فانتصر﴾ [القَمَر: 10]
Abdullah Muhammad Abu Bakr Nūḥ akamuomba Mola wake kwamba «mimi ni dhaifu wa kupambana na hawa, basi nisaidie mimi kwa kuwapa mateso yanayotoka kwako kwa kukukanusha wewe.» |