Quran with Swahili translation - Surah Al-Qamar ayat 25 - القَمَر - Page - Juz 27
﴿أَءُلۡقِيَ ٱلذِّكۡرُ عَلَيۡهِ مِنۢ بَيۡنِنَا بَلۡ هُوَ كَذَّابٌ أَشِرٞ ﴾
[القَمَر: 25]
﴿أؤلقي الذكر عليه من بيننا بل هو كذاب أشر﴾ [القَمَر: 25]
Abdullah Muhammad Abu Bakr «Je Ameteremshiwa wahyi na kuhusishwa yeye pekee kwa utume miongoni mwetu, na hali yeye ni mmoja katika sisi? Bali yeye ana urongo mwingi na kiburi.» |