Quran with Swahili translation - Surah Al-Qamar ayat 34 - القَمَر - Page - Juz 27
﴿إِنَّآ أَرۡسَلۡنَا عَلَيۡهِمۡ حَاصِبًا إِلَّآ ءَالَ لُوطٖۖ نَّجَّيۡنَٰهُم بِسَحَرٖ ﴾
[القَمَر: 34]
﴿إنا أرسلنا عليهم حاصبا إلا آل لوط نجيناهم بسحر﴾ [القَمَر: 34]
Abdullah Muhammad Abu Bakr Sisi tuliwateremshia upepo mkali unaowarushia mawe, isipokuwa watu wa Lūṭ wa nyumbani, kwani wao tuliwaokoa na adhabu kipindi cha mwisho wa usiku |