Quran with Swahili translation - Surah Al-Qamar ayat 35 - القَمَر - Page - Juz 27
﴿نِّعۡمَةٗ مِّنۡ عِندِنَاۚ كَذَٰلِكَ نَجۡزِي مَن شَكَرَ ﴾
[القَمَر: 35]
﴿نعمة من عندنا كذلك نجزي من شكر﴾ [القَمَر: 35]
Abdullah Muhammad Abu Bakr ikiwa ni neema itokayo kwetu juu yao. Kama tulivyompa malipo mema Lūṭ na watu wake wa nyumbani, tukawapa neema na tukawaokoa na adhabu yetu ndivyo tunavyowalipa mema waliotuamini na kutushukuru |