Quran with Swahili translation - Surah Ar-Rahman ayat 58 - الرَّحمٰن - Page - Juz 27
﴿كَأَنَّهُنَّ ٱلۡيَاقُوتُ وَٱلۡمَرۡجَانُ ﴾
[الرَّحمٰن: 58]
﴿كأنهن الياقوت والمرجان﴾ [الرَّحمٰن: 58]
Abdullah Muhammad Abu Bakr Kama kwamba hawa wake wa kihurulaini ni yakuti na marijani katika sifa zao na uzuri wao |